Hao wote ni wana-CCM labda na wewe kama mwana-CCM wanakuhusu nini? Dowans haitakiwi kulipwa si kwa sababu Sita na mwakyembe wamesema.
Moja ya techniques kubwa ambayo Kinana alijaribu kuishawishi kamati kuu ya ccm ni kuwa kitendo cha Sitta kupinga ufisadi kumeiongezea sana sifa CCM na kurudisha heshima yake!! yaani kwa mujibu wa KINANA ccm leo hii inaheshima kwa sababu ya Sita na mwakyembe
Note this down, every move ya kuwasifia akina Sitta na Mwakyembe ni kusifia CCM! mtego huu wengi mmeingia na mna-confirm CCM will rule this country mpaka wachoke wao!!
Dowans waliovunja mkataba ni akina mwakyembe na sita, deni hili walilipe wabunge TU na kwenye allowances zao! la kama mkataba ulikuwa na makosa wawajibishwe waliongia mkataba, uki-evaluate bila ushabiki lazima kuna upande una makosa na pande hizi haziwahusu wananchi!
Guys let CCM go away with all angels (if any ) in it! Sitta na Mwakyembe are worse leaders/lawyers ever happened in history of Tanzania, wanatumia publicity kwa vitu serious kabisa! walitakiwa baada ya kuvunja mkataba waendeone step aheda na sio kuweka loop holes ya kushtakiwa na kutokea haya ya leo, still mnawaita hawa tu wana akili-wamo serikali ILE ILE, RAIS YULE YULE FISADI, CHAMA KILE KILE KIDHULUMAJI, still wanakaa na kugonga glass na wale wale watakaochukua hizo fedha
mpaka Lowassa awe rais nchi hii na sita na mwakyembe wawe mawaziri wake ndio akili zitakuja
mnatia kinyaa! CCM upande wazuri, upande wabaya what a shame!!!!!!!!!!!! logically does not exist
CCM imeoza na vyote vilivyomo ndani yake, sihitaji msatri wa biblia wala quran ku-emphasize hili, na wale mnaowaona malaika ni malaika wa shetani waliovaa nuru ya muda!