Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,905
- 141,665
...bora wind city kuliko huko Southern kwenu kulikojaa mafukara na maracist,code message yako tumeipata usiwe na wasi kijana,lakini Chicago is better million times....Barack Obama is the President of the United States!
guess what wewe mjinga mjinga koba kimanga....kuna migration kubwa sana ya watu wa chicago hapa....why?
...Chicago hawawezi kuja kwenye umaskini huko...unemployment huko nasikia ni 47%!
Hawa na DC ndio wanaoongoza kwa comments zeutamu.......nway better chi town kuliko kwenu uko mmejazana kazi umbeya na mijungu tu!
kati ya miji ambayo sitakaa niishi marekani-atlanta,dallas,houston,columbus..never
Hawa na DC ndio wanaoongoza kwa comments zeutamu.......
LOL, I thought Indiana ndio wana the highest unemployment in the nation 15% or something?
I live near chicago and i must say that going there is always enjoyable for me. I never lived there, but given the chance i would. Although the economy is not that great, or taxes are ridiculous, theres an aura about chicago that sticks with you, that helps you over look its shortcomings. This place is very diverse and many are given an equal chance there whether your from africa to china. Many communities of ethnicity is there. Dont give up on the windy city which attracts many poor and rich. Its my small paradise away from home.
you were wrong...atl iko 47% (per koba, of course)...lol
At least Chicago ni ya tatu! mbona huongeli stockton CA ambao ni ya kwanza na ya pili memphis?...
Kwa sababu simjui yeyote aishiye huko...
Najua wanaoishi L.A. tu....Lol
ooh you have a lot to explain today nani unamjua L.A?!......
BTW chicago is a great city for really hakuna kama chicago na ukizingatia sasa hivi imekuwa historical state you cannot beat that....as far as i know a lot of peeps who visits chicago huwa wana end up to fall in love with the city....how great the city kuna kila kitu hapa sema tuu economy imeharibu mambo and wait untill hiyo 2016 wakati wa mashindano ya dunia read my words yatafanyika chicao this time...watch.
Namjua LisaRaye McCoy, A (lol), Kobe, etc....
Mh who is A?....Angie,Agnesy,Abdallah,Anuary au Amir?.