KAJICHO KIVULI
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,061
- 546
tupia kistori kifupi kilichokufanya uchapike skuli kisawasawa
kuna siku nliingia staff nkanywa chai na chapati za tcha wa mathe alinitandika bakora ishirini na tatu mpka wenzangu walinishuku nimemtembelea mchina kwa jins makalio yalivovimba
Kweli darasa la tatu Timbwilitimbwili ...!!Dah, basi kuna monita wetu tukiwa darasa la tatu alikua mnoko balaa ila alikua hajui kusoam na kunadika. nakumbuka alimuomba jamaa amuandikie majina ya wapiga kelele, cha kushangaza, jamaa aliandikaa majina ya kaka zake na dada zake tu. Kwa kujiamini si akapeleka yale majina kwa ticha. bala lake nadhani unajua ni nin kilifuata.
Siku moja tulipanga njama ya kuchimba handaki kutoka porini hadi darasani, wakati tunaendelea na zoezi kama siku ya nne hivi mwalimu akajua bwana, sasa wakati tupo mistarini mwalimu akitutawanyisha kwenda darasani alituambia sasa hivi tunaenda mafarasani msome kwa bidii na wale wanaochimba handaki waendelee na kazi yao. Wanafunzi walicheka kweli yaan manake hata wanafunzi walikuwa hawajui.[/QUOTE
hahahahaaaaaaaa dah darasa la tano hiyo ilikua siku ya ukaguzi nakumbuka alhamisi nahis mnaijua ile song ya " jua latoka hasubuhi kutuangazaaa" basi bhn katika kundi la wachafu nilwemo afu zamu ilikua ya mwalimu mnoko balaa tukaitwa mbele mi nlikua wa mwisho kuchapwa sasa ile natoka tu kuonesha kama sijali hata kama nikichapwa nikastua kijoti kilichofata unakijua
Nakumbuka nikiwa darasa la 5 nilikuwa na kioo kidogo, nikiona msichana kasimama nakitupia chini naendelea kuchek muvi na rafk zangu, cku moja kama kawaida nikakitupia chini kuchek yule dada chupi yake imechanika kitu laiv kinaonekana, c nikawaita rafk nao waone ile kuona wakaanza kucheka na kufanya raia kuongezeka c mhusika akashtuka, akaenda moja kwa moja kwa dingi alikuwa mwalimu, ile kutokeza tu wakanitaja, akaita njemba nne wakaninyanyua juu kwa kunishika mikono na miguu af mshua kashika fimbo za mpera, nakumbuka wiki nzima ckuweza kukaa kwenye koch
nilikamatwa na seconf madter kati ya shamba la mahindi mabichi na nmekoka mota kilicho endelea unajua
tupia kistori kifupi kilichokufanya uchapike skuli kisawasawa
kuna siku nliingia staff nkanywa chai na chapati za tcha wa mathe alinitandika bakora ishirini na tatu mpka wenzangu walinishuku nimemtembelea mchina kwa jins makalio yalivovimba
Hahaha mi nakumbuka kipnd hcho ukiongea kiswahili unavalishwa li mbao la swahil spka mchana wakat wa kuondoka unatoka mbele unataja aliyekupa nae aliyekupa anamtaja aliyempa dah cku hyo nikaamu nisiongee kiswahil ile mda wa kuenda parad unafka jamaa aliyevaa lile block c akaniita kwa kiswahili na mm bac nikaliendeleza dah c ndo nikaenda nalo parade nilipata moto xana maisha ya shule raha sana aisee v2ko n vng sana
aaaahahhaaaaa kuna siku tuliitwa watoto wa walimu tuliofeli mitihan weeeee hilo balaaa lake ni utata kila ticha anataka akupige mwingne anasema ooh huyu ni shangazi yangu mwingne huyu ni anko wangu basi tabu tupu eti mtoto wa mwenzio ni wako basi nilikula stiki za kutosha jaman duuuu walivyoniachia nilibeba kabegi kangu ka sport ilikuwa nyekundu najiinua taratibu nguvu zimeniisha daaaaaa nikuwa sipendi bas tu
Sintakaa nisahau mwk 1998 kuna siku mwalimu mmoja wa kike wa hesabu aliingia class kabla yangu then wakati mi naingia nikaskia harufu kumbe kuna mtu aliachia ushuz,taratibu nikakaa hlf nikamuuliza mwenzang nani kaachia?akacheka hlf akaniambia hajui au lbd ni ticha nini?sijui akili yangu ilikuaje mara nikamuuliza "mwalimu eti umeachia" akasema kwa sauti nini? Nikasema kwa mkato mkato U.m.e.jamb...eti? Yule mwenzangu akainama chini ya dawati,yule mwalm aliita wenzake wawili akasingizia nimemtukana...we hivyo viboko..