umbea huo...
Heheee mwanamke umbea. Nmeshindwa kuiona bana
hahaha wenye nayo wamekuskia wameifcha uvungun vuta ktandanda usiiname utaiona..
Wallah umbea mtamu, kumbe Jana unajifanya kusuluhisha wakati kamoyo kanafurahi ha ha ha
hahahaaa refa wa hiari alikuwa masai dada
Ha ha we mbeya wewe! Duu nimekosa ndundi hivi hivi!! Eti eti my dia Evelyn Salt yakweli haya? Wallah sijamuona maic tyson siku nyingi akimng'ata mtu sikio daah kama vipi zirudiwe....nani alikuwa refaa ??
binamu,ilikuwaje?hebu niambie kudogo...
ha ha ha mwanamke umbeya kusutwa su n na !! Umepotea u hali gani?
Hahahaha!! Haya naona umezingirwa na wapambe!
Ha ha ha wallah jahazi....
ha ha ha jaman jaman nnavyokupenda mbeya miyee nasubiriaaaa!!
hahahaaa refa wa hiari alikuwa masai dada
Usijali mwezi wa June unafaa sana, andaa sweta zuuri!
Ila kumbuka uzee mwisho Njombe
Munkari ni mbea jamani sio maan mbeya kuzuriii.
nitakupeleka