Ha ha we mbeya wewe! Duu nimekosa ndundi hivi hivi!! Eti eti my dia Evelyn Salt yakweli haya? Wallah sijamuona maic tyson siku nyingi akimng'ata mtu sikio daah kama vipi zirudiwe....nani alikuwa refaa ??
hahahaaa refa wa hiari alikuwa masai dada
Ha ha we mbeya wewe! Duu nimekosa ndundi hivi hivi!! Eti eti my dia Evelyn Salt yakweli haya? Wallah sijamuona maic tyson siku nyingi akimng'ata mtu sikio daah kama vipi zirudiwe....nani alikuwa refaa ??
jioni hii kule MMU kuna kasheshe ilitokea kikawaka hasa! mmoja anataka kufa kwahiyo anaomba ushauri mwingine alikuwa ni mtajwa hapo juu akataka kuhoji kulikoni anajichanganya na kuchanganyikiwa...! pakawa hapatoshi kila kijembe kilipigwa lakini mwishowe Eve aliibuka kidedea yani kama ni ndondi Eve kamtwanga mtu kwa TKO
Umbeya huo, utasutwa!
Duuh mmenipa hamasa wakwenda kutafuta hiyo therd,ngoja niende uko sikubali kupitwa.