chriss brown
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 292
- 63
eeh! ebu twambie mkaka JF ya zamani ilikuaje wengine wageni humu ndani!Hivi mbona siku hizi JF inataka kuwaje sijui? Sasa thread kama hii ni diskasabo kweli? Mtu una post thread ya hivi unategemea nini? Mimi sielewi hapa unataka watu waelimike, wakuulize ulize, wacheke au wafanyeje sasa.Kuna mtu alishauri kuwe na interview ya kujiunga JF haki wala hakukosea!
eeh! ebu twambie mkaka JF ya zamani ilikuaje wengine wageni humu ndani!
Kuna jamaa alitokea kumpenda demu mzuri cna,huyo msichana kila wakipanga waka do,anasema,iwe usiku,huyo man akawa anashangaa mbona mchana hataki?,kuna nini?.siku hiyo usiku akamvizia,akasema wakianza tu,atawasha taa amuangalie,haiwezekan galfriend wangu halafu hataki nimuone jinsi alivyo,wakati kwa muonekano wa nje yuko bomba.ilikuwa jumapil siku hiyo,saa tatu usiku,kijana kama kawaida anazima taa,masharti ya mpenzi wake,wamemaliza romance tu,kabla ya mashambuliz kuanza jamaa akawasha taa,USITAKE JUA alichokiona.