Ndani ya meli,wa2 makabila tofauti walikua na mizigo,meli ilizidiwa ilibidi mizigo ipunguzwe,Mzungu akatupa computer, akasema"kwe2 zpo tele,
Mchina akatupa box la cmu akasema"kwetu zipo tele" Mmasai akatupa Ng'ombe akasema hizi zipo kibao kwetu.
Mchaga anahaha hajui atupe nn kila kitu chake anakionea uchungu ,ghafla alimtumbukiza Mmasai kwenye maj!, akasema"Yesu na maria hawa wapo tele ARUSHA".
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums