chezea suti wewe

Gentles
Inapendeza kwakweli...na wadhamini wengine wajitokeze
 
SUTI taifa stars zimewapendeza sana inawapa morali na hali ya kufanya vizuri
 
Huyo mwrnye suti ya kijivu kama yasheikh yahya nae hakupimwa vizuri na fundi? Imemvaa kawaharibia picha yao bwana!

Kwa kweli wengine naona vazi la suti linawagomea....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…