Jaslaws JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 6,016 Reaction score 5,301 Mar 30, 2013 #2 Hahaha hatareeeee!!
maishapopote JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 3,507 Reaction score 6,455 Mar 30, 2013 #3 halafu ni movie gani hiyo inaendelea kwenye TV......?
kimeloki JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 2,730 Reaction score 2,848 Mar 30, 2013 #4 hayo manyumba ndogo achana nayo kabisa alafu uzuri wao ukifilisika unatimuliwa.
Kunta Kinte JF-Expert Member Joined May 18, 2009 Posts 3,690 Reaction score 1,294 Mar 30, 2013 #5 Kitu nazipendea nyumba ndogo ni kwamba unapata service inayolingana na pochi lako!!!
kitalolo JF-Expert Member Joined Dec 4, 2006 Posts 1,827 Reaction score 708 Mar 30, 2013 #6 huyo baba naye huwa anavaa shindilia matiti?
NATA JF-Expert Member Joined May 10, 2007 Posts 4,492 Reaction score 1,314 Mar 30, 2013 #7 Ni mwendo mdundo, dada yuko kiofisi zaidi.lol!
Kamanda Kazi JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 2,613 Reaction score 800 Mar 30, 2013 #8 Mhh wizi mtupu! Eti mzee mzima anaitwa baby na babies waitweje?!!!