Chezea kifo wewe!!!

stable woman

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
3,887
4,467
Majambazi walivamia benki wakawaambia watu wote tunaanza kuwaua kwa alfabeti za majina yenu A,B,C..........Z"
wakamuuliza meneja unaitwa nani?
Meneja; Zosefu Zabrahamu
Wakawauliza watumishi wengine:
1:naitwa Zedward Zamweli 2:Zanna Zaadamu 3:Zahussein Zamussa 4:Zaasha Zaabdala 5: Zumari yakuti

vp kama nawewe ungekuwepo benki siku hiyo?
 
Zitto Zuberi au majambazi wanamjua ZZK?

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Duh nyie wote hatar mnaogopa kufa eh? Basi majambaz wataanzia mwisho!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom