Wapumbavu mtaji, wajinga mradi, umaskini majuto. Watanzania wengi wamelewa kamali ya Kampuni za simu.
Kuna haja ya kuendesha operation ya kuwaamsha waTZ usingizini. Gambling yoyote ili isurvive ni lazima wanaopoteza wawe ni wengi kuliko wanaoshinda.
Unatuma sms unakatwa 500, mkituma watu Milioni moja je? Mwisho wa cku mshindi anapewa Vitz ya milioni 4, mapesa yenu yote wanajinufaisha wachawi wachache, this is crazy.
Hawa matapeli hawachoki kutuma sms, utashinda x2 acha ujinga, acha kamali wewe.