Mkuu hebu cheki vizuri, hizo picha si mtu huyo huyo mmoja, ni watu wawili tofauti kabisa..Nothing have changed rather than the pictures shown.
Certificate's index number,graduating year,police report and the contacts are all the same.
What different is the photo shown,ambayo kwa akili ndogo tu utatambua kwamba jamaa alienda na passport size mbili alizopiga kwa nyakati tofauti ama the media concerned walifanya makosa wakati wa editing.
hapo ndo patamu njooni na wengine wenzenu wamesha jitokeza!
Yawezekana kama ilivyotokea hospitalini kwenye ile case ya opereshen ya mguu na kichwaNaamini hapo ni kosa la media house wakati wa editing
hii imeshaongelewa kwenye ule uzi wa waziri....Mkuu hebu cheki vizuri, hizo picha si mtu huyo huyo mmoja, ni watu wawili tofauti kabisa..