Cheti cha Kidato cha nne

Cheti cha Kidato cha nne

Kabagala

Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
10
Reaction score
17
Habari wana jamii,

mimi ni nina elimu ya kidato cha nne ya 2009, lakini mpaka sasa sijachukua cheti changu, nawezaje kukipata kwa urahisi?
Je, nikienda shule niliyosomea nitakipata?
 
Back
Top Bottom