mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,512
Ndugu zangu members wa JF mnaopenda kufurahia siku muhimu katika maisha yenu, Harusi kuna kipindi mahsusi kwa shughuli hio TBC1 kila Jumapili saa moja kamili usiku. Kuna matangazo ya bidhaa ya kike (freestyle) nadhani ni wadhamini wa kipindi hicho.
Tatizo langu sio kubwa, ila ni namna wao Chereko Chereko wanavyomtangaza huyo mdhamini wao. Ni kwa kumhoji bibi harusi au msimamizi kwamba amekuwa akitumia nini katika maisha yake, inabidi aseme ni freestyle, tena inabidi aseme kabisa kuwa amevaa wakati huo wa shughuli hiyo, jamani! Hili si ni mambo ya siri, Au!?
Kwahiyo watazamaji wote tujue sasa kuwa bibi harusi yuko kwenye unajimu siku hiyo dah! imekaa kiudhalilishaji hii.
Ndio tatizo langu tu.
Natumai mmo humu.