Cherehani ya kutumia mkono

blackgal94

Member
Jul 13, 2016
37
15
CHEREHANI YA KUTUMIA MKONO

Bei ni TSH 20000

yenye ukubwa wa _Stepler pin machine_ ambayo unaitumia kushona palipochanika/kufumuka kwa urahisi. Inashona kama cherehani ya kawaida.
Haitumii betri
Rahis kubeba
Unashona _cotton, polyester, silk pia hata nylon._

Tupo dar mbezi beach jogoo.....

Kwa dar kuletewa ulipo ni tsh 3000,
Mkoani pia unatumiwa kwa gharama ya mteja .

Call/Whatsapp.... No ..0717556768
FB_IMG_1572280734590.jpeg
 
Duuh!! Kweli technolojia inakua!! Labda niulize uimara wake ukoje?? Mm nahitaji sana nakutafuta kwa sm
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom