Uko sahihi mkuu mimi niko katka mahusiano ya ndo ni mwka wa 13 nawajua sana hawa wanawake hao wanawake akiwasema mleta mada siku izi hawapo now days wnawake wanachepuka kwa ajili ya kupata pesa za kukidhi mahitaji yao na family tu na sio mapenzi wala kufull in love kama anao sema kama huamini kwanini mwnamke alieolewa ana mahawara zaido ya mmoja kama ni kwa mapenzi kweli si angekua na mmoja tu kwann wengi??Evelyn Salt Hayo ya wanawake kuchepuka kwa hisia ni dhana tu au ni wachache ambao wanasababu za kuwachoka waume zao au kuchoka ndoa zao.
Wake za watu wana michepuko zaidi ya mmoja na wanai handle bila shida. Mke wa mtu haendi wala hataki kulala kwa mchepuko labda apate safari ya mkoa /wilaya nyingine ndo Wanaweza panga na mchepuko mmojawapo wakaspend usiku mzima.
Wanawake wangekuwa kweli wanachepuka kwa hisia ndoa nyingi zingevunjika. Wanaume wavumilie tu kulea watoto wa wenzao hiiiiii [emoji23] msinikasirikie ni utafiti huo.
Hapo kukosea au kupatia hakuna jibu la moja kwa moja, inategemea nawe kwenye maisha yako unahitaji mwenza wa dizaini gani...Kuna ule msemo unasema bora ukosee kujenga utabomoa nyumba kuliko ukosee kuoa au kuolewa, unaweza kuuelezeaje huu msemo? na kukosea kuoa au kuolewa mtu unakosea vipi?
Watuheshimu tumewazaa???? Hapa utamu tu heshima tutapewa na watotoMkituheshimu shida hakuna tatizo huko nje sasa hamta heshimiwa hata
Kudanga ni kuchuna buziSamahani naomba neno halisi la kudanga
Kuzini /kuziniwa/kufanya umalaya
Huyo ni boya aisee mara nyingi huwa wanadanganya si unajua mapenzi bila kudanganyana hayaendi sikila maneno unayoambiwa ninya kweli mengi ni kutaka kukufanya ujione we niwa mhimu kwake wa dhamani ila kiuhalisia huwa ni uongo ila huyo wako mi mjinga sana kapenda mpka kapiliza ila ww humpendi maana kama kweli ingekua unampenda usingeruhusu aolewe na mwanaume mwingine ila yy hilo halioniUlichokiongea ni sahihi kabisa naunga mkono hoja yako kwa kutoa Ushahidi huu
Mimi nlikua na mchepuko wangu ambae ni mwanzo hakua ameolewa lakin badae alikuja kuolewa na aliniomba ruksa ya kuolewa mi nikamkubalia, tuliendelea na mapenz yetu lakin kadri muda ulivozid kwenda mapenzi yang na uyu mchepuko(mke wa mtu kwa sasa) yalizidi kunoga
Ikafika pahala akanambia anafurai zaid kua na mim kuliko kua na mme wake, akaniomba ikiwezekana afanye mpango aachane na mme wake arudi kwangu nimuoe awe mke wa pili(anajua kua nmeoa na yupo tayari kuacha ndoa yake aje kwangu awe mke wa pili)
Ushuhuda huu unadhihiridha wazi kua wanawake wakipenda wanapenda kweli na mke wako akiwa na mchepuko tu basi hesabu maumivu kwa maana anaweza kuzama mazima
Kuhitimisha tu; kabla sijamjibu kua nitamuoa au lah(dini hairuhusu kuoa wake wawili) tayari ameshalikoroga kwa mme wake na amenambia kua anaachika kwa mme wake kwa ajili yangu plz nisimuumize akajutia maamuzi yake
Nashukuru...ni wapi huko nijeHahaha pole sana..... Uje chumba cha ushauri
Walikuwa hawampendi huyo msichana, hata sisi tunaweza kwa wanaume tusiowapenda
Nimeirudia hii kwa sasa[emoji1787]
Jichekee tu mwayego
Watuheshimu tumewazaa???? Hapa utamu tu heshima tutapewa na watoto
Yaani mtu anatafuta kauogomvi ili asiguswe akienda kwa mcheps awe. Na nyege kama zote[emoji23][emoji23][emoji23]
Sometimes nimeolewa sometimes sijaolewa yani inategemea na anaeniuliza hilo swali [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wao wanajipa ruksa sasa mwenzie achepuke wanaua mpaka jirani kama naye anayafahamu hayo mahusianoHaha tusingekuwa tunaona matukio ya kuchomana visu na kulawitiana
Hakuna cha dharau watu wanapata mpaka watoto Mzee na ndevu zake hajui anachekelea tu ukiona dharau basi kamchoka mmeNa tofauti ndio iko hapa.
Nyie mkichepuka dharau hadi ndani ya nyumba. Wakati sie tukichepuka bado heshima iko palepale
Asante nimejoin now sicheleweshi
Mambo ya kikubwa Telegram group
Mwanamke kama maji babuu usipokunywa utachambia, usinisahau kadi ya harusi kama hujampata bi harusi sema nikupe mtoto mmoja wife material ako na bikra hadi sekunde hii naandika hapa
Kuna mmama namfahamu waliahidiana kipindi wasoma wataoana lakini wakapoteana wakati wanakutana kila mtu anamwenza huwa kaoa huyu kaolewa kila mmoja alifanya figisu kwenye ndoa yake ikavunjika na wao wakaoana wanaishi mpaka leo na ni muda mrefu, lakini sio vizuri kuwaumiza wengine, siku nawe ukisikia mkeo wanamtindua utajisikia vipi?Ulichokiongea ni sahihi kabisa naunga mkono hoja yako kwa kutoa Ushahidi huu
Mimi nlikua na mchepuko wangu ambae ni mwanzo hakua ameolewa lakin badae alikuja kuolewa na aliniomba ruksa ya kuolewa mi nikamkubalia, tuliendelea na mapenz yetu lakin kadri muda ulivozid kwenda mapenzi yang na uyu mchepuko(mke wa mtu kwa sasa) yalizidi kunoga
Ikafika pahala akanambia anafurai zaid kua na mim kuliko kua na mme wake, akaniomba ikiwezekana afanye mpango aachane na mme wake arudi kwangu nimuoe awe mke wa pili(anajua kua nmeoa na yupo tayari kuacha ndoa yake aje kwangu awe mke wa pili)
Ushuhuda huu unadhihiridha wazi kua wanawake wakipenda wanapenda kweli na mke wako akiwa na mchepuko tu basi hesabu maumivu kwa maana anaweza kuzama mazima
Kuhitimisha tu; kabla sijamjibu kua nitamuoa au lah(dini hairuhusu kuoa wake wawili) tayari ameshalikoroga kwa mme wake na amenambia kua anaachika kwa mme wake kwa ajili yangu plz nisimuumize akajutia maamuzi yake
Hiiiii maamuzi ni mkeo naye kujichepukia sio kwa kisasi bali kupunguza stress... Ili aweze kukuonesha tabasamu pana [emoji23]
Haaa haaa kuoa lazima aoe tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oa bana, Unaogopa kununua gari kisa tu zinapataga ajali?!!