Chenji ni hatari kwa ndoa

Chenji ni hatari kwa ndoa

MTENDAHAKI

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
4,013
Reaction score
1,448
Ni bora ukutwe na pakiti hata kumi za kondom amabazo hazijafunguliwa kuliko mkeo/mumeo kukukuta na kondom moja ama mbili zilizobaki (chenji).

Hii ni kwa sababu chenji maelezo yake hayahitaji ufungue mdomo, lakini maboksi unaweza kusema ulipewa kwenye promotion, etc.

Lakini chenji ya kondomu maana yake kuna zilizotumika kuduu, sihamasishi kupiga kwa peku no, nawakumbusha kutochukua chenji "Keep change".

Siku njema.
 
kwahiyo hizo chenji huwa mnachukua ili mkanunulie vitumbua vingine kesho? sa we mwanaume mzima unaondoka na chenji ya vishilingi ili iweje, ndo mkome
 
kwahiyo hizo chenji huwa mnachukua ili mkanunulie vitumbua vingine kesho? sa we mwanaume mzima unaondoka na chenji ya vishilingi ili iweje, ndo mkome

si unajua nyingine zianuzwa ghali, sasa unakuta ile ya 10,000 pakti mtu kanunua pakti mbili then kaifungua moja yenye pcs 3, kazinguliwa au hakuwa fiti katumia pc 1 au 2 tu kati ya pcs 3, anaona uchungu anachofanya ni kuzichomeka zile mbili 2 kwenye pkt 1 au anarudi na pakt 2 lakini moja ina upungufu!ndwii kwny begi la safari akitegemea mechi ingine kesho or any day kabla hajarudi home!Anajisahau hachezi gemu yoyote mzigo uko kwenye begi huooo home!wife anafungua anaukuta , lahaula kimbembe chake.....!
 
Huo ubakhili ndio unawaponza zimebaki mbili achana nazo ukipata game nunua sasa hiyo bajeti ndo inakufikisha hapo anazikuta brand new patamu hapo
 
Sasa chenji mnabakisha ya nini
? Mnakuwa mmeishiwa nguvu au njaaa imewakamata?
Au unaenda mringishia mpenzio or mkeo unajua kubana matumizi ?
 
Kuna Mshikaji wetu alikutwa na 1 akajitetea eti 2 walizifungua palepale kwenye semina facilitator alipokuwa anawaelekeza jinsi ya kuvaa na kuvua kwa usalama. Wife akajaa mzimamzima.
 
Kuna Mshikaji wetu alikutwa na 1 akajitetea eti 2 walizifungua palepale kwenye semina facilitator alipokuwa anawaelekeza jinsi ya kuvaa na kuvua kwa usalama. Wife akajaa mzimamzima.

Ha ha ha jamaa anawife ajiongezi
 
Sasa chenji mnabakisha ya nini
? Mnakuwa mmeishiwa nguvu au njaaa imewakamata?
Au unaenda mringishia mpenzio or mkeo unajua kubana matumizi ?

hahhaha kuna zile match za lunch time huwezi kumaliza pakti nzima kwenye kasaa kamoja.... ila tutaanza kuwaachia nyie muondoke nazo sasa!!!
 
Back
Top Bottom