CHENGE: Serikali iache Maneno iweke Muziki. Hongera Darsa kwa kuwashika na mistari yako.

MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,093
7,228
Mbunge wa bariadi mh. Andrew change amageuka kuwa.mbogo kwa serikali baada ya kuona anazidi kupigwa Dana Dana ishu ya kujengewa barabara jimboni kwake.

Kuonesha kiwango cha ghadhabu alichokuwa nacho mh.Change alifikia hatua ya kuiambia serikali kuwa "iache Maneno iweke muziki " Maneno yaliyoimbwa na msanii Darsa.

Funzo, wasanii watu mie sanaa yao na vipaji vyao kufanya kazi za ubunifu kwa lengo la kubadilisha jamii au kufukisha ujumbe kwa mamlaka husika maana Maneno ya kwenye huu wimbo yashatumika mpaka na mh. Rais JPM (unakimbia bila break , what do you expect) ,mh spika aliwaambia upinzani nae hii kitu. Hii imekaa njema San mh darsa zidisha ubunifu.
 
Hata mzee wa Bata aka buldoza, aka kalandinga, aka Mzee wa Upako aliwahi kulitumia hili neno
 
Dah kweli vyuma vimekaza mpaka leo hii sijasikia dili lolote kutoka kwa mzee was vijisenti Ila namkubali siku akiibuka mshindo wake sio wa kitoto
 
Mkuu Chenge magu akikuzingua piga dili moja takatifu alafu wakianza kukuhoji waambie "vijithumni tu hivi"
 
Back
Top Bottom