Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Ni Nchi hii pekee ambapo wezi wa mali za umma wanaweza kujigamba.
wana jeuri kwa sababu wanajua hakuna wa kumfanya chochote
Ipo siku miti yote itateleza na asijione genius sana,angeipogeza system inayombeba pamoja na u-mbuta wa watz.
Ukimwona nguchiro anakufanyia mbwembwe jua yuko karibu na shimo lake.
Mzee wa madili - Mzee wa mipango - Tuhuma zake ni nyingi tu!!Gazeti la leo la Mwananchi limemnukuu Mbunge wa Bariadi Mashariki Andrew Chenge akijiita tumbili. Chenge alikuwa akizungumzia kuhusika kwake kwenye suala la Escrow na uwepo wa taarifa za kuachia ngazi kwake kama Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Bunge.
Akikanusha kuachia ngazi,Chenge alijiita tumbili kwa kusema: "Mimi ni tumbili. Na hata hili nitaliruka". Chenge amekana kuhusika kwa lolote kwenye maovu ya Escrow.Hata Ngeleja naye amekanusha kujiuzulu uenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge.
Bastola kwenye kundi la watu 100?Dawa yake ni wananchi wa mwanza tu. Juzi alikuja JB BELMONTE wakati anashuka tu kwenye gari watu wakaanza mwizi mwizi mwizi na kujaza watu hasa honi za magari ndo zilitia fora. Akatoa bastora watu wakamwambia kama utakuwa na risasi nyingi basi ni kumi kwahiyo utaua kumi na sisi tunakufanya kama Mabina. Polisi ndo walikuja kunusuru hali na kumchukua atujui alienda wapi. Japo ishu halikupata wa kuiriport lakini ilikuwa tamu kuzidi ya Makongoro Mahanga. Kama ye mwanamume aje tena aone
wana jeuri kwa sababu wanajua hakuna wa kumfanya chochote
Anajisifu si kwamba hajafanya maovu, bali kwamba anafanya maovu na uwezo mkubwa wa kuyaruka anao.
Mafioso.
Mafioso.
Ni Nchi hii pekee ambapo wezi wa mali za umma wanaweza kujigamba.