Chenge do me a favour - sit down and shut up

NOT ENOUGH

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
596
Reaction score
310
Surely, its disgusting seing this mzee giving contribution in the parliament.
What the hell do you wanna try to tell Tanzanians, WE HATE YOU, You are among the person who played a massive role sinking this country into total darkness. PLS PLS PLS UKIWA BUNGENI KAA, SIKILIZA, CHUKUA POSHO ZAKO NENDA UKALE BATA BUT NEVER EVER CONTRIBUTE ANYTHING. The entire contribution was merely bizzare stories.
 
lazma utakuwa umeshikishwa wewe kumtetea Chenge! Endeleeni kulala huko Bariadi
 
Sorry guy your english appears to have the same phenomenon.
 

Is your English any better???????

I hate to read contributions of your kind!
 

Binafsi naona hafai lakini sababu yupo Bungeni..., na kama hakuchakachua kura..., then it means kwamba sadly as it may be kuna watanzania wanaomwona kwamba anafaa
 
Yaani hii Mibunge ya ccm ovyo kabisa eti inampigia makofi kwakuongea Uh.ro Mamikataba ya ovyo yote yameingiwa kipindi Chenge akiwa AG leo Serikali ya Magamba inakuja Muswaada wakitaka Makampuni ya Madini waendelee kusamehewe kodi kwa miaka kumi afu Magamba walivyo wehu watapitisha.Lisu tunakubali mchango wako endelea kutupigania na siku moja Mungu atasikia kilio cha wanyonge.
 
Oh God, kumbe I know English!!! how did u snatch my message then mpaka ukawa na hasira
 
You are quite unfare to the old man and the people who elected him. You might be nursing a grudge over the old man, but you have no right to generalise your stance to all of us. Let the old man air his views and the views of the people he represents in the parliament.
 
Binafsi naona hafai lakini sababu yupo Bungeni..., na kama hakuchakachua kura..., then it means kwamba sadly as it may be kuna watanzania wanaomwona kwamba anafaa

Alichakachua vizuri sana kaingia mjengoni kibabe tu!
 
Oh God, kumbe I know English!!! how did u snatch my message then mpaka ukawa na hasira
Don't worry sweetheart, you at good position and the way you are practising now, it gonna be better. Good lucky and your message have been delivered to all.
 
Kusema kweli huyu mzee wa vijisenti anakera yeye ni mwiba mkali kwenye maisha ya watanzania,huyu hastahili kuwa bungeni hata kidogo, pahala anapostahili huyu fisadi nyangumi ni jela au kuzimu.
 
Oh God, kumbe I know English!!! how did u snatch my message then mpaka ukawa na hasira

If someone is not good enough why don't you explain to us how bad he is in the parliament instead of putting a stereotype statement like the way you did in this thread. I am not angry with you and I do not have to since you do not know me . It is absolute mad to be angry with a keyboard. However if you want to criticise someone at least show us his weaknesses.
 

Halafu ndugu tumia akili kidogo, mimi namsemea Chenge kwa position aliyoshika na akiliingiza TAIFA katika matatizo. I hopo you remember this gay was AG for some years. Kama hujui hii mikataba yote ya madini mibovu ilipitishwa kipindi chake.

Kama watu wa Bariadi wanamkubali kwasababu ya kuwajengea soko la samaki pale Bariadi mimi sifaidiki nalo.
Honestly huyu mzee hatakiwi kutoa mchango wowote pale bungeni sababu usitegemee kitu chochote kipya toka kwake.
 

Mdondoaji read my last thread, I have tried to explain why me and all TANZANIANS hate this mzee except you, by the way you shoud also analyse why dont U HATE HIM
 
Likewise, your english has some issues!!!!

Mkuu mbona mnageuza hoja ya Not Enough kuwa jukwaa la lugha.

Wote tunajua kuongea kidhungu au kukiandika yataka wito, kidhungu kinahitaji karama! Ohoooooh
Sasa mbona nyie walimu wetu mmebaki kukosoana tu hata hatujui kidhungu cha nani ni cha "St. Mdondoaji" na kipi ni cha kuleeeeee "Halimashauri ya Wilaya ya Nkasi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…