1. Amewahi kuwa mchezaji bora Ulaya mara mbili mfululizo, amechezea timu kubwa Hispania, Italia na Ufaransa, mpaka kesho mashabiki wa ligi ya Uingereza wanatamani angecheza kwenye ligi hiyo wamuone laivu - ni nani?
2. Amewahi kufunga magoli 3 (hat trick) katika dakika 5+ za mwisho, ana medali ya Olimpiki, amecheza ligi za Italia,Uholanzi na alikuwa kwenye kikosi kisichofungika/kisishindwa katika ligi ya Uingereza- nani huyu?
3. Ni mchezaji pekee ambaye amekuwa kwenye timu zaidi ya 2 zilizotwaa kombe la mabingwa ulaya, moja ya wachezaji wachache sana wa nchi za ulaya kucheza kwenye ligi kuu za Marekani ya Kusini - nani yeye?
Ronaldo de Assis Moreira.
Nwankwo Kanu dhidi ya Chelsea. Mechi ilichezwa Octoba, 1999. Alifunga hat trick dakika 15 za mwisho. Hata hivyo, the fastest hat trick inashikiliwa na Robbie Fowler aliyefunga magoli matatu ndani ya dakika 4 na sekunde 23.
Charlie Mitten. Mwingereza huyu aliichezea Man Utd na Chelsea kabla ya kuhamia ligi ya Colombia.
Ni mchezaji huyu ambaye mwaka 1950 alihoji wanasoka kulipwa pesa ndogo. Wakati huo mshahara mkubwa kwenye ligi ya Uingereza ulikuwa ni pounds 12 kwa wiki. Kwa sababu hiyo alihamia Colombia ambapo alikuwa analipwa pounds 40 kwa wiki!
Mkuu unatisha, vipi Seedorf hahusiki hapo kwenye nambari 3?
4. Ni wachezaji wawili machachari waliokuwa na majina ya ubini japo sio ndugu, wote walihamia kwenye timu pinzani na kuiletea mafanikio makubwa Afrika mashariki, mmoja akiwa ni mfungaji magoli hatari na mwingine akiwa kiungo mkabaji mahiri - ni kina nani hawa?
5. Ni wachezaji wawili wenye asili ya Kiafrika ambao hawakuwahi kucheza kwenye kombe la dunia ila kwa jinsi walivyokuwa wanakubalika sana duniani kimpira waliwahi kuwa wachezaji bora wa dunia - ni kina nani hawa?
5.Ni wachezaji wawili waliowafanya mashabiki wa wapinzani wao jadi wasimame katika uwanja unaotisha sana wa Santiago Bernabeu na kuwashangilia - ni kina nani hawa?
Ronaldo de Assis Moreira.
Nwankwo Kanu dhidi ya Chelsea. Mechi ilichezwa Octoba, 1999. Alifunga hat trick dakika 15 za mwisho. Hata hivyo, the fastest hat trick inashikiliwa na Robbie Fowler aliyefunga magoli matatu ndani ya dakika 4 na sekunde 23.
Charlie Mitten. Mwingereza huyu aliichezea Man Utd na Chelsea kabla ya kuhamia ligi ya Colombia.
Ni mchezaji huyu ambaye mwaka 1950 alihoji wanasoka kulipwa pesa ndogo. Wakati huo mshahara mkubwa kwenye ligi ya Uingereza ulikuwa ni pounds 12 kwa wiki. Kwa sababu hiyo alihamia Colombia ambapo alikuwa analipwa pounds 40 kwa wiki!
Zamoyoni Mogella aka The Golden Boy na Method Mogella aka Findi
George Weah and probably Abeid Pele (though hakuwa FIFA, but CAF footballer of the year)