What is his GPA?
Aggregate GPA is 3.3
sio mbaya
wa kike wa kiume
ana msimamo wa kufanya dar au atakimbia baaae isije ikawa shida
njoo pm
nakutumia msg haupatikani find me ASAPHi comrades, I bring this to you on behalf of my cousin.
A 2014/2015 graduate with BSc education majoring in Chemistry and Biology is readily available to work in Dar es salaam. In case you need one kindly send me a PM and I will instantly connect you.
Best regards.
What is his GPA?
Una point lakini pia siyo vibaya kwa mwajiri kujua GPA ya mwajiriwa. Ni kipimo kimojawapo cha kumjua mwajiriwa vizuri. Hata mimi nitakuwa na wasiwasi na mwajiriwa mwenye GPA below 3. Alikuwa hasomi, siyo makini, ni kilaza or just doesn't care? Work ethic yake ikoje etc etc...Jamaa yeye alikuwa ni mtu wa kusoma pastpaper na ma lecturer wetu wengine wezembe na ndo hao wanakariri wanafauru vizuri class ukiwaleta kwenye real world practice hakuna kitu , utakuta paper ya semester ya kwanza mwaka huu anairudia mwakani tena au anabadirisha arrangement ya maswali so mtu akiotea anafaulu vizuri sana
Una point lakini pia siyo vibaya kwa mwajiri kujua GPA ya mwajiriwa. Ni kipimo kimojawapo cha kumjua mwajiriwa vizuri. Hata mimi nitakuwa na wasiwasi na mwajiriwa mwenye GPA below 3. Alikuwa hasomi, siyo makini, ni kilaza or just doesn't care? Work ethic yake ikoje etc etc...