Chemistry and Biology teacher available

Chemistry and Biology teacher available

Malikauli

Senior Member
Joined
Mar 3, 2012
Posts
150
Reaction score
114
Hi comrades, I bring this to you on behalf of my cousin.

A 2014/2015 graduate with BSc education majoring in Chemistry and Biology is readily available to work in Dar es salaam. In case you need one kindly send me a PM and I will instantly connect you.

Best regards.
 
nakutumia msg haupatikani find me ASAP
 
What is his GPA?

Sasa nikuambie kitu GPA haihusiani na utendaji wa kazi mimi ni IT nipo kazini nafanya programming, networking etc nina GPA 2.6 ila kuna jamaa yangu ana upper second hata kudownload kwenye computer hawezi
 
Jamaa yeye alikuwa ni mtu wa kusoma pastpaper na ma lecturer wetu wengine wezembe na ndo hao wanakariri wanafauru vizuri class ukiwaleta kwenye real world practice hakuna kitu , utakuta paper ya semester ya kwanza mwaka huu anairudia mwakani tena au anabadirisha arrangement ya maswali so mtu akiotea anafaulu vizuri sana
 
Una point lakini pia siyo vibaya kwa mwajiri kujua GPA ya mwajiriwa. Ni kipimo kimojawapo cha kumjua mwajiriwa vizuri. Hata mimi nitakuwa na wasiwasi na mwajiriwa mwenye GPA below 3. Alikuwa hasomi, siyo makini, ni kilaza or just doesn't care? Work ethic yake ikoje etc etc...
 
Ndo maana sasa hv kama umefuatilia mashirika mengi wanahitaji cv tu kwanza na barua vyeti ukifika kwenye usaili coz washajua watu wanasomea GPA na si kubadili dhahania kuja kwenye vitendo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom