Hapo labda hio ya vifaa tiba ndio nimesikia kwasasa inawapa vijana ugali
Inataka PCM muhimbili wanachukua 25 ila mwaka wa kwanza na wa pili utasomea must mbeya
Inataka matokeo ya mzumbe, ilboru na feza, la mwisho kabisa Sup 3 muhimbili unarudi nyumbani.