Mkuu inategemea Chemba maeneo gani ? Kuna vijiji kilimo Cha mahindi kinakubali, Mbaazi, Alizeti, jitahisi Utembelee kipindi hichi uone Hali ya Mazao masjambani, Kama unakwenda Kulima pazuri Zajirwa, mlanje, mrijo, soya sio kubaya, piya tembelea maeneo ya Wilaya Chamwino Kuna vijiji vizuri Kwa kilimo:- Izava, sigala, itiso, haneti, dabalo manyusi, na ndibisi
Wakuu natafuta eneo la kununua Chemba kwaajili ya ufugaji wa Ngombe na Mbuzi-Naomba ushauri ni nunue vijiji gani kuna mifugo mingi na marisho pia. Na pia bei zikoje kwa eka 1?