Hakuna nani wala nani,wote chooni! uwe maskini au tajiri,wote chooni! hakuna umashuhuri wala nini,wote chooni! uwe rais au mbunge,wote chooni! uwe sharo au mrembo,wote chooni! uwe maarufu km wewe au si maarufu km mimi,wote chooni! Asante Mungu kwa kuonesha maajabu yako ya usawa! hakuna mimi wala wewe unayesoma post hii,wote chooni! kama hujaenda chooni leo niPM,kama umeenda kausha!!!!!
Mmh.... post nyingine bana...Hakuna nani wala nani,wote chooni! uwe maskini au tajiri,wote chooni! hakuna umashuhuri wala nini,wote chooni! uwe rais au mbunge,wote chooni! uwe sharo au mrembo,wote chooni! uwe maarufu km wewe au si maarufu km mimi,wote chooni! Asante Mungu kwa kuonesha maajabu yako ya usawa! hakuna mimi wala wewe unayesoma post hii,wote chooni! kama hujaenda chooni leo niPM,kama umeenda kausha!!!!!
Sijakuelewa. Choo ndio kitu gani?
umesahau na wote maradhi na kifoHakuna nani wala nani,wote chooni! uwe maskini au tajiri,wote chooni! hakuna umashuhuri wala nini,wote chooni! uwe rais au mbunge,wote chooni! uwe sharo au mrembo,wote chooni! uwe maarufu km wewe au si maarufu km mimi,wote chooni! Asante Mungu kwa kuonesha maajabu yako ya usawa! hakuna mimi wala wewe unayesoma post hii,wote chooni! kama hujaenda chooni leo niPM,kama umeenda kausha!!!!!
Hakuna nani wala nani,wote chooni! uwe maskini au tajiri,wote chooni! hakuna umashuhuri wala nini,wote chooni! uwe rais au mbunge,wote chooni! uwe sharo au mrembo,wote chooni! uwe maarufu km wewe au si maarufu km mimi,wote chooni! Asante Mungu kwa kuonesha maajabu yako ya usawa! hakuna mimi wala wewe unayesoma post hii,wote chooni! kama hujaenda chooni leo niPM,kama umeenda kausha!!!!!
Kwa hakika kila mtu ana aina fulani ya uchizi lakini tukubaliane kuwa wengine wana uchizi wenye viwango vya hali ya juu, wengine wehu, wengine wenda'zimu kabisa, wengine hawasemeki.