D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,728
- 4,178
Karibu mkuu kwa ajili ya ligi saa tatu na nusu tukutane ili nne kamili tuanze shughuliUtoto raha
Sawa kaka ndio maana nimechagua njia hii huwa haina mambo mengi sanaKuwa makini na Race mzazofanya barabarani.
MWISHO WA MWAKA UNA MAMBO MENGI.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Karibu kaka kama utahitaji kushiriki Unaweza kuja pia itasaidia hata kufahamiana piaMTU chake bhana
Kwa kimeo hiki utaaibika bure.Gari yangu ya mwanzo ist kwa kweli Nilikuwa nawaonea wivu sana mkitamba humu ila Nilikuwa sina la kusema.
Nimenunua unyama mwingine wa subaru na leo nlikuwa kwa fundi kufanya marekebisho ya injini.
Maana mi ni mpenzi wa ligi barabarani ndugu yangu elibariki baadae uje tukutane uhasibu nataka tuitest na hiyo audi yako mpaka kibada.
Mmenitesa sana Na nyuzi za gari zenu mkanifanya niazime magari ya watu kwa ajili ya ligi.
Hapa nshanunua ice cube(na jambo nazo)
Ngoja nicheki movie saa tatu na nusu tukutane uhasibu kwa yeyote mwingine atayehitaji mi ntakua kwenye kitimoto pale pembeni barabara ya mbele kulia ukisogea mbele kidogo kuna demu anauza anita huwa anauza pale.
Ahsante kwa Atakayehitaji kushindana pia anaweza kunicheki pm
Kimeo?Kwa kimeo hiki utaaibika bure.
Sawa mkuu gari za watu wa heshima zitakufanya usionekane mhuni kama sisiHongera mkuu,nina ndoto za kumiliki harrier au kluger,naamini ndani ya miaka mitatu nitakuwa nimeshanunua moja ya hizo gari
Kaka futa hii sio nzuriR.I.P
Mwambie kabisa aache hiyo tabia ya kudanganya watu ili kujitafutia ujikoMkuu unasema hiyo ni Subaru, wakati engine ni 1JZ-GTE ya Toyota.
Umesoma uzi kakaMkuu unasema hiyo ni Subaru, wakati engine ni 1JZ-GTE ya Toyota.
NdioHiyo picha ni ya leo, pale Kigamboni Bridge kulikuwa na Drag Racing
Khee hivi wewe unajua kuhusu engine kweli au unakariri tuSubaru haina injinia hio bwege wewe.
🤣🤣🤣 UlaaniweNikupe namba ya muuza majeneza kabisa?