Jamani jamani msiwaige wa Nigeria jamani watawaponza maana wanawapa maneno matamu huku wanawamaliza taratiibuu, Sonia ni msichana aliyekuwa anaishi Uk na chanzo cha habari hii kimeniambia alipata connection ya Nigerians wanaoishi Uk kupeleka sembe Italy, yaliyomkuta ni yale mambo kucheza segere ndani ya tumbo lake na kupelekea umati wake (vitu vimepasukia kwa tumbo).
Pole sana bibie, is sad when life leave you with no choice. Sitaki kusema sana kwa mtu aliekua anaishi UK. Ila kwa hawa wengine tunalaumu dalili za ugonjwa kuliko ugonjwa mwenyewe. Nini kinachofanya watu wabebe unga? Jadili