billduke
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 859
- 893
PICHA YA KWANZA MBABES WA KIBONGO ALIYEKUFA ITALY KWA KUPASUKIWA NA UNGA ALIOUBEBA TUMBONI!!
yakamkuta huko kweli drugs noumaaa
Jamani jamani msiwaige wa Nigeria jamani watawaponza maana wanawapa maneno matamu huku wanawamaliza taratiibuu, Sonia ni msichana aliyekuwa anaishi Uk na chanzo cha habari hii kimeniambia alipata connection ya Nigerians wanaoishi Uk kupeleka sembe Italy, yaliyomkuta ni yale mambo kucheza segere ndani ya tumbo lake na kupelekea umati wake (vitu vimepasukia kwa tumbo).
Chanzo: blogs
dada yenu huyu ame dead kisa??? drugs
Ilikuwa ni kutoka UK kwenda Italy na mautiyakamkuta huko kweli drugs noumaaa