Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,000
- 61,853
ha ha ha ha kama nafsi haina furaha unategemea matendo yatakuwa mazuri?Halafu watu wa hvyo asili yao wanaroho mbaya
ha ha ha haSipendi kucheka mimi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Haiwezekaniha ha ha ha kama nafsi haina furaha unategemea matendo yatakuwa mazuri?
ha ha ha ha cheka cheka sehemu zote zinazofaa kucheka,we cheka tuEquation x mambo!, naomba nicheke na weweee
ha ha ha kuna baadhi ya maofisi ukiingia,watu wamenuna tu;ukiomba huduma wamenuna tu.hata unavyonuna sijui unamnunia nani.
hata humu mtu anakuquote povu mpaka unashangaa shida nini..ha ha ha kuna baadhi ya maofisi ukiingia,watu wamenuna tu;ukiomba huduma wamenuna tu.
ha ha ha wanakuwa na uelewa mdogo,hawajui maana ya forumhata humu mtu anakuquote povu mpaka unashangaa shida nini..
ha ha ha wanakuwa na uelewa mdogo,hawajui maana ya forum
ha ha ha ha ha,mabadiliko huwa yanaanza taratibu,wataelewa tu[emoji3][emoji3]Ukijifanya uko serious sana ndio unazidi kuumia tu. Na haisaidii.
Ha ha haaa haa umenifanya nicheke bila sababu!Kucheka bila sababu unaweza kujikuta unacheka kicheko cha kichawi
Inasaidia kuondoa msongo wa mawazo🤣🤣🤣🤣 Cheka unenepe!
Umeona eeeInasaidia kuondoa msongo wa mawazo