Kuna siku nilikuwa napata vichamba koo vya mawazo bar moja Sinza mara nikasikia matarumbeta kwa sana tu kumbe ilikuwa harusi, ghafla meza ya jirani yangu palikuwa na wazee flani umri wa kustaafu hv nikasikia mzee moja anasema "jamaa anapeleka matatizo ndani" wote wakacheka na kumsapoti, basi amin usiamin mimi mpaka leo napata tabu kupeleka matatizo ndani namaliza juu kwaju!