Cheka kidogo toka mtandaoni

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,216
Reaction score
859,606
*John Sanga alikuwa na mwanafunzi Mchoraji, Siku mwoja alichora Noti ya shilingi elfu kumi kwenye sakafu, Mwalimu alipo ingia Darasani ghafla akajikwaa na kupasuka pua .... Wakati alipo kuwa anakimbilia ile hela kuiokota, akauliza wanafunzi nani aliye chora hapo chini? Wanafunzi wote wakamtaja John, mwalimu akaamua kumpigia simu Baba yake john(Mzee Sanga) Mzee Sanga akapokea akiwa hospitalini kalazwa, Mwalimu akamweleza makosa ya mwanae Mzee Sanga akamwambia Mwalimu afadhali yako wewe umepasuka pua hujalazwa, Huyo Mbwa jana kachora uchi wa mwanamke kwanye soket ya umeme*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

*UNAHISI MZEE SENGA KAUMIA WAPIII !!!*

SITUMIII VIROBA WALA BANGI WANGU UGORO TUU
 
hii nyagi ya forest [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ati umesema mzee sanga kaumia wapi?!!
Kumbe alifikiri roh mtaka bifu kamletea k kiulaini ajisevie! Yamemkuta sasa
 
Ati umesema mzee sanga kaumia wapi?!!
Kumbe alifikiri roh mtaka bifu kamletea k kiulaini ajisevie! Yamemkuta sasa
 
Ati umesema mzee sanga kaumia wapi?!!
Kumbe alifikiri roh mtaka bifu kamletea k kiulaini ajisevie! Yamemkuta sasa
 
Ndomana gongo imezuiliwa kuuzwa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
*Kwa jinsi navopenda biashara na hii mvua nataman niseme nauza matope na manyunyu kwa jumla na reja reja* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…