Kuna "kamgahawa" nafungua eneo ya gongo la mboto
Nina uhitaji wa chef, vigezo;
1. Awe kapitia mafunzo rasmi (vyeti)
2. Awe na experience isiyopungua miaka mitatu
3. (Na ya Msingi) Awe na maono makubwa zaidi ya ajira (akijituma tutashikana mikono na kukua pamoja)