Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,202
- 44,225
Nilikuwa nikijiuliza cheche liko wapi?badilisha heading hiyo..ili watu walichangamkie?
Kama kawaida hakikisha unatuma nakala kwa watu wengine ambao unafikiri hawajapata kijarida hiki na washauri watuandikie kupitia mhariri@klhnews.com ili waweze kukipata kila wiki pamoja na habari za kushtukiza kupitia emails zao. Tukifika watu 1000 Kufikia Juni na kila mmoja akawa anaweza kutuma kwa watu 10 ina maana kila wiki tutaweza kuwafikia watu 10,000 Sasa hivi kila wiki kutoka wasambazaji wetu 11 tunaweza kuwafikia watu wengine 100 kwa vijarida vinachochapwa kila wiki na kugawiwa bure! Hii ni kuondoa wale wanaopata kwenye emal au wanaodownload kwenye mitandao ya jamiiforums.com na mwanakijiji.com!
Na tuende na kuwa "Cheche"
Mwanakijiji,
Am I missing something? Mbona kuna utata mwingi kwenye toleo la 27 la Cheche? Kwanza kwenye sehemu ya tarehe, inasomeka Februari 11, 2008. At first I thought hii ni makala ya 2008, lakini nilipoona habari kuhusu sakata la Masha, basi nikajua kuna makosa ya kiuandishi. Pili ni kwenye picha ya "marehemu" balali. Maelezo chini ya picha yanasomeka "Mdau wa Benki M - Mhe. Nimrod E. Mkono" ilhali picha iliyotumika ni ya Balali. Nadhani hapa pia kuna tatizo la kiuandishi kidogo.
Zero,
Nimeona kweli kuna makosa. Nafikiri ni shauri ya kukosa muda maana hawa wenzetu wanahangaika kubeba box kwa maisha yao ya kawaida na huku kufanikisha kuchapisha hiki kijalada kwa kujitolea. Sio kazi ndogo kabisa.
Hongera Mwanakijiji na kundi lako kwa kazi kubwa mnayofanya ya kuelemisha jamii.
Yaani hawa jamaa wajinga kweli, wanataka kutumia mbinu ile ile ambayo tayari tunajua ilikuwa ni kudanganya Wadanganyika?