Kweli luv..sasa mm gal namtoa wapi..
I love you Karma
1001001 100000 1101100 1101111 1110110 1100101 100000 1111001 1101111 1110101 100000 1001011 1100001 1110010 1101101 1100001
Good kama sio mchepukaji. Nami nikimpata sitachepuka..Njoo nikufunze. It's very easy[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] woii mimi siyo mchepukaji,, ila nitakuja unipe somo namna ya kuwasiliana kwa kutumia hizo namba.. I love you more
Ila usimuache na 7800 tu tafadhariGood kama sio mchepukaji. Nami nikimpata sitachepuka..Njoo nikufunze. It's very easy
Hapana bwana.. Tutagawana nitakacho kua nacho sawaIla usimuache na 7800 tu tafadhari
Hapo sawaHapana bwana.. Tutagawana nitakacho kua nacho sawa
Hahaha hii niliwahi ifanya watsap tunatumiana selected emoji kufikisha ujumbeHua tunachat kwa binary number
Good kama sio mchepukaji. Nami nikimpata sitachepuka..Njoo nikufunze. It's very easy
Usinitie moyo tu..Waiting[emoji4][emoji4] okee okee nitakutafuta
Usinitie moyo tu..Waiting
duh hii hatari ngoja niisakeCheaters vault ni kutumia smartphone ya xiaomi TU!
Huna haja ya kisimu kidogo sijui ukifiche.
Huna haja ya kua na laini maalumu kwaajili hiyo.
Huna haja ya kublock block michepuko.
Jibu ni Xiaomi(mi.com)
1.Ina sehem ya kuhide sms za namba zako maalumu ulizochagua zisionekane bila kutumia app ya kudownload!
2.Second space.hii ni kama kutumia os mbili katika device moja.huko kunajitegemea kwa kila kitu kwanzia passwords,apps,media files nk.
Unaweza kumwachia mtu wako simu akae nayo miezi na miezi na asijue lolote lile!