fisadimpya
Senior Member
- Oct 27, 2011
- 191
- 103
ipi hiyo mkuu, naomba link au icon yake niione!!Natumia secure sms app hata akiifungua haelew kilichoandikwa ni code tuu (encrypted code), uko kwengine ni salama WhatsApp, FB, Insta
Mwenyewe nasubiri hapaipi hiyo mkuu, naomba link au icon yake niione!!
Najifunza kitu hapa
Hua tunachat kwa binary number
No I'm joking.. Mimi sina hata wa kuchat nae akii.. ila nimewapa mbinu mabaharia waitumie kuchatHata wewe kaka ????
No I'm joking.. Mimi sina hata wa kuchat nae akii.. ila nimewapa mbinu mabaharia waitumie kuchat
Kweli luv..sasa mm gal namtoa wapi..Mnh wacha nikubali tu hivyo hivyo