Kuna habari kwamba ile dawa ya
kufanya wazinzi au cheaters wagandane sasa imeingia bongo, na tayari
watu wameanza kuichangamkia kwa kasi ya ajabu. Lengo ni kumkomesha
mwenzi asiyemwaminifu ktka relationship. Nionavyo mimi:
1) wengi tutaumbuliwa na hii dawa
2) mwisho wa cheating umefika
3) relationships nyingi sasa zitakuwa imara kwani cheating ndo inaongoza
ktk kuvunja relationships
4) njia ya mwenda mbinguni sasa ni nyeupe maana uzinzi ndo unaongoza
kuangusha watu dhambini
5) siyo fair kwa fb na gb kuumbuana kwa kutumia hii dawa maana wote
mnazini tu, hamjahalalishwa
6) wauzaji wa hii dawa watakula hela mpaka basi
wewe unaonaje?
huko ni kudhalilishana tu.kama mapenzi hakuna tena,haina haja ya kugandana,kila mtu aanze maisha yake.unahisi unamkomoa mwenzako,kumbe na wewe unajikomoa vile vile.imagine habari zienee,nina amini na wewe muweka tego,utajisikia vibaya
+1 :madgrin:nimependa signecha yako mto mada,:madgrin::madgrin:
Hiyo dawa (waswahili tunaiita TEGO) haifanyi kazi kam mnatumia c*ndom!!!!!
ni uongo mtupuKuna habari kwamba ile dawa ya kufanya wazinzi au cheaters wagandane sasa imeingia bongo, na tayari watu wameanza kuichangamkia kwa kasi ya ajabu. Lengo ni kumkomesha mwenzi asiyemwaminifu ktka relationship. Nionavyo mimi:
1) wengi tutaumbuliwa na hii dawa
2) mwisho wa cheating umefika
3) relationships nyingi sasa zitakuwa imara kwani cheating ndo inaongoza ktk kuvunja relationships
4) njia ya mwenda mbinguni sasa ni nyeupe maana uzinzi ndo unaongoza kuangusha watu dhambini
5) siyo fair kwa fb na gb kuumbuana kwa kutumia hii dawa maana wote mnazini tu, hamjahalalishwa
6) wauzaji wa hii dawa watakula hela mpaka basi
wewe unaonaje?
huko ni kudhalilishana tu.kama mapenzi hakuna tena,haina haja ya kugandana,kila mtu aanze maisha yake.unahisi unamkomoa mwenzako,kumbe na wewe unajikomoa vile vile.imagine habari zienee,nina amini na wewe muweka tego,utajisikia vibaya
Kuna habari kwamba ile dawa ya kufanya wazinzi au cheaters wagandane sasa imeingia bongo, na tayari watu wameanza kuichangamkia kwa kasi ya ajabu. Lengo ni kumkomesha mwenzi asiyemwaminifu ktka relationship. Nionavyo mimi: