Chawa wanatokeaje?

Chawa wanatokeaje?

Makaura

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
892
Reaction score
295
Unanunua nguo mpya ukivaa muda mrefu bila kufua unakuja kukuta kuna chawa wamejaa.

Wametokeaje? Nani kawaweka?
 
Sensitive Question.... inahitaji utaalamu kujibu. Ngoja ni Subscribe ili nisipitwe na uzi huu
 
Mimi nadhani unawatolea kwenye mazingira tofauti tofauti unayotembelea mfano nguo inachafukaje? Kutoka katika mazingira yanayokuzunguka. Chawa wapo hivyo unavyokuwa msafi unawatoa katika mavazi hivyo wanashindwa kuongezeka. Hata kunguni hivyo hivyo.
 
interesting question nishawah kujiuliza sijawah pata jibu. hawa chawa kabla ya kuonekana kwnye nguo isiyovuliwa chafu , kabla ya hapo wanakuwa wanaish wapi??
 
Wakati tupo sekondar o level tulikuwa tunajisugua ubavuni kwa kidole tunatoa uchafu na. Kuufunga ktk karatas baada ya wk tukifungua karatas tunakuta chawa
 
Wakati tupo sekondar o level tulikuwa tunajisugua ubavuni kwa kidole tunatoa uchafu na. Kuufunga ktk karatas baada ya wk tukifungua karatas tunakuta chawa

umetisha nipm.nikutumie.vocha hata ya book tano kama zawadi.kwa.jibu nzuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom