Hii ni populist move ambayo inaonyesha kushindwa kuongoza.
chavez ana cheza mchezo wa kimakaveli, Mwinyi alikuwa anaongoza kwa mfumo wa ki Harun Rashid. Rais wa dunia ya sasa msomi hawezi kukaa chini kusikiliza matatizo ya shamba la urithi, atakuwa anajionyesha asivyoelewa time management.
Ndiyo maana kuna kitu kinaitwa delegation, ndiyo maana kuna mahakama.Kama tatizo haamini watui wake na mahakama then anatakiwa kusafisha taasisi hizi.Hatuwezi kufanya kazi kwa msingi wa mtu mmoja mmoja, inabidi tufanye kazi kitaasisi.
Kukutana na watu ni populism tu, hamna lolote. mara mia hata ya huyo anayeongea na watu kwenye TV (ambaye hata yeye ni populist anayejiandaa kujipa usultani Venezuela)