Hakika mnaa hana rafiki,Ndugu yangu P kwa maslahi ya taifa anaitaja karma,hii haija waacha swalama akina Chaumwa,na hata wasaliti wa awali wa hili taifa kama covid19.Mungu sii mjomba mchumari.Hakijatoa taarifa rasmi
Hakijasema popote.. Lakini hali ni tete sana kinapumulia mashine.. Na mipira ya kutolea uchafu .. Kiko chumba cha mahututi
Waliojofanya ndugu jamaa na marafiki, wamekikimbia, wamekitenga wamekisahau sasa bado kukikana!
Hali ni dhoofu bin taaban.. Hakina msaada wowote.. Kinachosubiriwa ni kukata roho tuu
Shetani hana rafiki sasa wameamini
Sasa hakisikiki popote
Hakisemwi popote
Hakitajwi popote
Hakiandikwi popote
Hakika chauma chaumwa tukae mkao wa kutandika tanga
Pedi ya kike iliyotumika.
Wengi wamejiwahi wakakimbia Ila wengine kwa kuchelewaHakika mnaa hana rafiki,Ndugu yangu P kwa maslahi ya taifa anaitaja karma,hii haija waacha swalama akina Chaumwa,na hata wasaliti wa awali wa hili taifa kama covid19.Mungu sii mjomba mchumari.
acha uongo gentleman,Hakijatoa taarifa rasmi
Hakijasema popote.. Lakini hali ni tete sana kinapumulia mashine.. Na mipira ya kutolea uchafu .. Kiko chumba cha mahututi
Waliojofanya ndugu jamaa na marafiki, wamekikimbia, wamekitenga wamekisahau sasa bado kukikana!
Hali ni dhoofu bin taaban.. Hakina msaada wowote.. Kinachosubiriwa ni kukata roho tuu
Shetani hana rafiki sasa wameamini
Sasa hakisikiki popote
Hakisemwi popote
Hakitajwi popote
Hakiandikwi popote
Hakika chauma chaumwa tukae mkao wa kutandika tanga
Huyu mzee kama kazeeka zaidi๐ค
thank your for recognizing your untruthful articles,Lie- liar ๐๐๐ ulipaswa kuandika.. You are a lier! Language ulipata F ya ngapi?
Nako siku zake zinahesabika.. Wahuni walikaingiza kingi mbaya!Hayo matapeli na vibaka wakiongozwa na haka kakibaka Yericko Nyerere wanasubiri wanachoita maridhiano, na hawajui wanaridhiana na nani na wanachoridhiana ni nini.