Chatu ammeza mlevi huko India!

Hivi hii ikitokea chatu huwa hakimbii eti?
 
Chatu mkali kwa nini wamuogopa! Mnyama asiye kivuli hana mfupa ! Tena jabari awindapo hana pupa! Apenda machakani mjini hakuzoea. (repeat x 3)
Hutega njiani usiku amekusudia,Ni mwepesi kubaini adui kumfikia, Usimchezee ndugu utaangamia!, Ukufike mtukutu ujute kuzaliwa

​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…