Awamu ya Giza chato ilikuwa midomoni mwa watu ikizungumzwa kila siku kwa upendeleo wa wazi,kupelekewa vitu ambavyo haistahili.
Watu walivumilia sababu walikuwa hawana namna mana wenye mamlaka walilazimisha.
Sasa hadi kipindi hichi ambacho haki,uhuru na demokrasia vimetamalaki bado mnalia lia tu kwa kuonewa?
Mtakuwa wajinga sana kama mtaruhusu na hilo litokee.haki haiombwi bali inapiganiwa.