Chato - Mungu kwanza : Mikutano Mikubwa ya neno, afya na familia nchi nzima

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
Chama cha wanataaluma na wajasiliamali Wasabato (SDA) wanakuarika kufuatilia 21 za kumfanya Mungu kuwa wa kwanza Maisha mwako.

Popote ulipo unaweza kufikiwa na Baraka hizi.

Uplink station itakuwa kanisa la SDA Chato.

Muda :kuanza jumamosi ijayo 15/02/2020 hadi 07/03/2020, saa 12:00jioni hadi saa 2kamili usiku.

JINSI YA KUFUATILIA
1: fika Chato SDA hapo ndio mkutano ulipo Kwa walio Karibu.

2: kanisa lolote LA sda nchini kutakuwa na kituo cha kupokea matangazo.

3:Mamia ya vituo sehemu mbalimbali nchini (mabarabarani, restaurants, bars, njia panda, masokoni etc)

4: Fuatilia Kwa radio, Kwa dsm 105.30 FM (Morning star radio - Sauti ya matumaini). Mikoani, Congo inapatikana pia.

YOUTUBE (livestream kila siku - Chato Mungu kwanza).
ONLINE RADIO (tunein. Com /morning star)
TV Kwa wenye ving'amuzi vya Ting /Continental - Hope channel

NJOO UJIVUNZE NENO LISILOGHOSHIWA
NJOO UKUMBUSHWE MPANGO WA MUNGU WA KUISHI MFUMO WA MAISHA WA AFYA ALIOKUPENDEKEZEA.
NJOO UJIVUNZE MISINGI YA NDOA NA FAMILY KIBIBILIA.

KUTAKUWA NA UPIMAJI WA AFYA BURE KUANZIA WIKI HII MKOA WA GEITA NA HAPO CHATO.

fuatilia.
 
Wasabato ni kikosi Cha kupigania haki za wapagani kuwapigania Siku zao za kusali wapagani za Jumapili,Christmas na pasaka ziwchiwe wapagani waendelee nazo

Wapagani wenyewe wako kimya Lakini wasabato ndio hudai kwa niaba yao kuwa wakristo wawachie wapagani waabudu jua nk waendelee na Siku zao .Wasabato Ni wakali kweli kweli kwenye kwapugania.

Hivi nyie wasabato huwa wapagani wanawalipa shilingi ngapi kwa kazi hiyo ya kupigania haki zao za kujibakia na jumapili,Christmas na pasaka?
 
SDA now too politics...waunga juhudi wengi Sana .. Why chato? Kuna miji mikubwa tu hapa Tanzania Hilo kongamano halijafanyika...

Sent using Jamii Forums mobile app
Linafanyika popote mkuu.
Limefanyika Mara mbili Mwanza
Limefanyika Dar
Linafanyika Chato
Litafanyika simiyu

Ili lifanyike halihitaji miji mikubwa au midogo maana, linahitaji MFUMO imara tu wa mawasiliano ili kote mijini na vijijini wapate kupokea matangazo.
 
Wasabato ni kikosi Cha kupigania haki za wapagani kuwapigania Siku zao za kusali wapagani za Jumapili,Christmas na pasaka ziwchiwe wapagani waendelee nazo

Wappagani wenyewe wako kimya Lakini wasabato ndio hudai kea niaba yao kuwa wakristo wawachie wapagani waabudu just nk waendelee na Siku zao .Ninni wakaoi kweli kweli

Hivi nyie wasabato huwa wapagani wanawalipa shilingi ngapi kwa kazi hiyo ya kupigania haki zao za kujibakia na jumapili,Christmas na pasaka?
Asante Kwa Maoni.
Kama Kuna cha kufafanua nielekeze nifafanue mkuu, kama umeweka kama malalamiko na masikitiko yako Ktk vitu unavyodhani Wasabato wanakosea nayaheshimu pia bila kujali kama ni hoax.
 
Mkutano utakuwa muhimu sana kwa wakati huu
20200209_085034.jpg
 
Inawezekana mwakani ila point yangu mikutano hii haitegemei mjini au kijijini maana inahitajika system strong ya mawasiliano na kurushwa nchini Na nje ya nchi.

Watu Wanabatizwa kila palipo na kituo sio tu kituo kikuu.
Ni lini mmefanyia hii mkutano yenu wilayani? Nitajie wilaya nyingine mliyowahi kufanyia mkutano wa Mahubiri!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni lini mmefanyia hii mkutano yenu wilayani? Nitajie wilaya nyingine mliyowahi kufanyia mkutano wa Mahubiri!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni mwaka wa tatu
1:Wilaya ya nyamagana (mabatini)
2:Wilaya ya nyamagana (buzuruga)
3:wilaya ya mbeya mjini
4:Wilaya ya ilala (kinyerezi)
5:Wilaya ya Chato

Ni wapi na Kwa nini ni maamuzi ya hao wanaoendesha mikutano.
ATAPE (association of Tanzania Adventist Proffesions and Entrepreneurs).

Hakuna Muongozo unaowafunga waweke Wilaya gani nchini mkuu, wako huru Kuja na Ubunifu wowote halali.
Huu wachato nauunga mkono.
 
Injili ya kweli hamuitaki madhara yake mnaenda kufa kwenye kukanyaga mafuta
Wasabato ni kikosi Cha kupigania haki za wapagani kuwapigania Siku zao za kusali wapagani za Jumapili,Christmas na pasaka ziwchiwe wapagani waendelee nazo

Wapagani wenyewe wako kimya Lakini wasabato ndio hudai kwa niaba yao kuwa wakristo wawachie wapagani waabudu jua nk waendelee na Siku zao .Wasabato Ni wakali kweli kweli kwenye kwapugania.

Hivi nyie wasabato huwa wapagani wanawalipa shilingi ngapi kwa kazi hiyo ya kupigania haki zao za kujibakia na jumapili,Christmas na pasaka?
 
Injili ya kweli hamuitaki madhara yake mnaenda kufa kwenye kukanyaga mafuta
Injili ipi wasabato wanahubiri? Hiyo ya kuwapigania wapagani kuwa waachiwe jumapili, Christmas na pasaka wakristo wasizitumie hizo siku wawaachie wapagani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom