hata swali kakosea kwa hizo namba median haiwezi kuwa 5.5 hata uongeze namba gani?
uki add 1 median inakuwa 2
uki add 2 median inakuwa 2
uki add 3 median inakuwa 2.5
uki add 4 median inakuwa 3
uki add 5 median inakuwa 3.5
uki add 6 median inakuwa 3.5
uki add namba nyingine yoyote median itakuwa 3.5
sasa ulitaka chat GTP ikupe jibu gani kwa hilo swali wakati median haiwezi kuwa 5.5?
kijana kama uko na swali lolote Kuhusu Mathematics lingine lete usikwame wewe nitag tu