Mtumishi Mkuu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 259
- 93
GAToyota Chaser Rafline, milage 100,900 rangi nyeupe ya mwaka 1989 inauzwa. Niliinunua kwa Mhindi mwishoni mwa mwka jana baada ya gari niliyokuwa nimeagiza kuchelewa kufika name nilihitaji gari ya kusafiri na familia kwenda kijijini. Nilivyorudi January gari yangu ikawa imefika kwa hiyo hii kwa sasa imepaki tu. Gari haina tatizo lolote ila sijaifanyia service tokea nimetoka kijijini (Moshi). Haijawahi kupata ajali wala rangi haijawahi kuguswa. Ni gari ya zamani na ni ngumu, kwa wale wanaofahamu magari watakuwa wanaelewa uzuri wa hizi gari. Bei ni 3.7m only. Ninapatikana kupitia 0684 393061 na gari ipo jijini DSM