BADILI TABIA hana umbea wowote!
Ni kweli JOB TRUE TRUE !
BT ana ability ya kuona mbali .
Kama nionavyo mie hapa "CHANDARUA-KAZI" (Network) za watu flaniflani zitapoteza.
BADILI TABIA hana umbea wowote!
Ni kweli JOB TRUE TRUE !
BT ana ability ya kuona mbali .
Kama nionavyo mie hapa "CHANDARUA-KAZI" (Network) za watu flaniflani zitapoteza.
Haya sasa sema mpendwa! Umeamua kimpokea rafiki yako awe mke Wa pili??? Huyo Saint Ivuga anasemaje? Mbona hajalipa mahari??? @Sobhuza akitoka kifungoni mtakoma wote....don't say I didn't sikuwatahadharisha
Yaani inshort hapahitajiki maelezo ya ziada ktk utambuzi, mtu mzima usomapo comments walau 3 tu, za mtu zatosha kutambua her/his abilities.
Huyu Bidada yuko makini, pamoja na kua wapo wengi, huyu ni mf. wao .