Boeing 757
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 288
- 623
Charlie the KING. Hakuna mwingineChaless chalie champline ni mwamba wa hizi mambo sijamuona mtu yeyote wa comedy hata huy mr bean anacopy na ku pest kutoka kwa mwmba wa comedy chaless chalie champiline
Chaless chalie champline ni mwamba wa hizi mambo sijamuona mtu yeyote wa comedy hata huy mr bean anacopy na ku pest kutoka kwa mwmba wa comedy chaless chalie champiline
typing errorNI Chaplin Siyo champlin
| –1976 | |
| Spouse(s) |
|
|---|---|
| Children | 11 |
Mpaka siku zote naendelea kumuangalia Charlie Chaplin.We unadhani nani mkali ? Ni kazi gani za hawa jamaa zinakuvutia ?
Hawa ma legend ni kati ya binadamu wachache sana ambao wameingia kwenye kumbukumbu za dunia kwa vizazi vya sasa na vingi vijavyo .
Kwa ucheshi wao wameitendea taaluma yao ya uchekeshaji haki .
Rowan Atkinson wa Johnny English
Au Ni CHARLIE wa the kid.
Binafsi nawakubali wote.View attachment 1481303
umsem vemaChaplin Na Atknison wanaweza kuonekana kama wanafanana kwenye uchekeshaji , ila kama ukichunguza kwa makini filamu zao ni watu wawili tofauti na kila mmoja alikua na mbinu yake ya uchekeshaji ambayo ni kinyume kabisa na ya mwenzake
Wote ni wafalme wa Physical Comedy kitu kinachofanya watu wengi wahisi Atknison ka copy kwa Chaplin simply kwasababu Chaplin alianza kabla ya Atkinson....ila utofauti wa mkubwa ni kwamba Chaplin alikua anachekesha kwa kuwafanya characters wanao mzunguka kuonekana wajinga mbele ya hadhira huku Atknison akichekesha kwa kujifanya mjinga mbele ya hadhira (Child like character) ukilinganisha na characters wanaomzunguka