Chanzo na Tiba ya Moyo Kupanuka

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
moyo.jpg

MOYO ni ogani muhimu sana katika mwili. Inafanya kazi muda wote hata wakati ambapo umechoka sana au kulala.

Kazi kubwa ya ogani hii ni kusukuma damu sehemu mbalimbali za mwili kama kichwani hadi miguuni. Kuwa na moyo wenye afya njema kunachangia afya njema kwa ujumla na maisha yenye furaha.

Kwa habari zaidi, soma hapa=> Chanzo na Tiba ya Moyo Kupanuka | Fikra Pevu
 
Back
Top Bottom