Chanzo cha ndoa kuvunjika

gekaboy

Member
Joined
Nov 27, 2021
Posts
49
Reaction score
106
Changamoto za ndoa zipo Toka enzi na enzi ila wakati huu zimekuwa nyingi mpk kupelekea ndoa nyingi kivunjika zikiwa na miaka 3 au 2 wengne mpk 1. Na ukiona ndoa imedumu kizazi hichi ujue kila mmoja amejifany mjinga

Kwa asili Ndoa inalindwa na mwanamke lkn maisha yamebadilika zamani wanawake walikuw wanaandaliwa kuwa tegemezi maan akijua kila kitu mume

Lakini majira yamebadilika wanawake wanasoma wanapata kazi zao kubwa hata ambao hawajasoma wanajishughulisha wafanyabiashara zao kwahyo wanaweza kujitawala kwahiyo mwanaume ukikoa kidogo tu nguo zinaanza kupakiwa ila zamani unakuta mwanamke anaweza anarudi kukaa na Baba na mama nyumbn Bora tu atulie kwa mumewe

NB: kama hipo sababu nyingn dodosha kweny comments
 
Changamoto za ndoa zipo Toka enzi na enzi ila wakati huu zimekuwa nyingi mpk kupelekea ndoa nyingi kivunjika zikiwa na miaka 3 au 2 wengne mpk ...
Chanzo kikuu ni nguvu za kiume kupungua kwa kiasi kikubwa.
 
Ndoa ni kitu chema sana. Sema watu wanaichukulia ndoa kwa u serious uliopitiiza ndio maana inakuja kuonekana kama kitu flan so so disturbing.

Anyways, the secrete to happy marriage will always remain secrete japo it is so open.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…