KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Yes umesema kweli,sisi tunajua kunyofoa roho za maadui zetu kama kumenya ndizi mbivu,BTW ,SASA UNAINGIA MKOA WA MARA KWA AKINA MARWA,UHOIRE SABHOKE TATII ISABHOKEE TATII ISAKARABHOKE.USCHEZE NA WATU WA KASKAZINI BANA! ILE NI JAMHURI NYINGINE.KWANZA WANA HELA NA UKIZUBAA WANAKUCHINJA. KWA UBABE NDIYO USISEME KWANZA MAKABILA YA KULE NOMA!(kurya,meru,sonjo,masai,barbaegh,chaga nk)HAWA WATU WANA ITKADI KALI SANA.
Lala salama babaHebu tufungulieni hii Habari mbona utajiri huu unatisha? yaani kuanzia Mazishi mpka Kesi ni dada mtu wanfuatilia huyo Mke yuko wapi jamani, MUNGU hapendi
Watoto wa marehemu Erasto Msuya wakiwa na shangazi zao Esta Msuya (kushoto) na Antuja Msuya (kulia) kwenye Mahakama ya Moshi Mkoani Kilimanjarao jana ambapo walishuhuduia watuhumiwa wa mauaji ya baba yao wakisomewa mashtaka mbele ya Hakimu mkazi Munga Sabuni na
Preta ntakupeleka kisiwa cha Mafia ukapate suntan au vipi? acha habari za kuwajua.
Mbona anaelewekaMwenzetu mbona haueleweki umetokea wapi kwani?
Wanaongea tu haoTZ hakuna mafia wewe....hivi huyo mleta habari anawajua mafia kweli?
tatizo unakuta na wauaji nao wanachangia mada humuhumu
:A S angry:
Duuuh wewe mjanja kama Sungura.Hii sio Mafia kisiwa bana.......Ni mafia wale wengine......
Suntan nimeshapata tayari Lanzarote.......nipo mwaaaaa......
Haya basi mimi sitii neno ila kumbuka ndege mjanja hunaswa na tundu bovu au vipi?,sasa tulia time will tell,.,..,.maana hamna namna lazima utaliwa tu nasema tena lazima upewe pipi mti ya machungwa maana tumechoka haha haa.Hii sio Mafia kisiwa bana.......Ni mafia wale wengine......
Suntan nimeshapata tayari Lanzarote.......nipo mwaaaaa......
Tatizo watu wengi hamjui maana ya mafia humu...nitakuja na uzi wa mafia ndo mjue mafia ni nini..mafia imekuwa ni kivumishi..kisifa..(organized crime)hata marekani kuna Italian mafia,Russian mafia,Chinese mafia...ajabu ni nini kuwa na Tanzanian mafia?ficheni ujinga wenu sio kila mtu ajue kuwa nyie ni vilaza..Huyo hawajui.. Mafia, hiyo mission angeitekeleza mafia kamwe wasinge kuja kujua alie tekeleza hayo mauaji.
Mkuu uliona mbali sanaMajina ya waliowatuma wauaji yamefichwa majina ya wauaji yametajwa kuna nini hapa? Kwa hali halisi hawa watu waliopanga mauaji haya nao pia ni mabillionea kwa hiyo polisi wanatumia nafasi hii kupata chao na kesi inabaki kwa hao jamaa watatu.
Acha fix weweWatawachinja nyie waoga mi nishapita hapo Arusha tena nilikuwa kwenye kazi flani hivi,kuna vibaka wenu mnaowaita majambazi walikuja chumba cha hotel nilipo lala sijui nan alitaka kuniuza ila walichokutana nacho hawawezi kusema maisha yao yote kibaka anabeba revolver!alafu hata hawajapeleleza aina ya mtu wanaetaka kwenda kumpiga
mimi maisha yangu kila siku yapo hatarini sijawahi kuogopa kufa coz nishaona vifo vingi na nishakoswa koswa sana...